Tetesi za usajili bongo
Habari za michezo

UNAAMBIWA AJIB NI ZAIDI YA AZIZ KI

Staff Desk November 14, 2023 8:01 pm

Wakati Kiungo wa Yanga raia wa Burkina Faso Stepehen Aziz KI akiwa hakauki midomoni mwa wapenzi wa Soka nchini kutokana na ubora wake anaouonesha katika kikosi cha Yanga.

Mchambuzi wa Michezo kutoka TV3 Alex Ngereza anasema kiwango cha Aziz KI sio cha ajabu kiasi kwamba watu wnapaswa kumzungumzia kiasi hicho huku akisisitiza kuwa Kiungo wa Coastal Union Ibrahim Ajib ana uwezo mkubwa kisoka kuliko Aziz KI.

Alex Ngereza anasema;

Ukiondoa uvivu Azizi ki hana kitu cha ajabu kumzidi Ibrahim Ajib kwanzia passing na jicho la kutengeneza nafasi kwa bahati mbaya mwenetu ni bishoo sana uwanjani lakini akiamua Azizi ki haokoti kitu kwake

WACHEZAJI HAWA SIMBA WAPEWA MWEZI MMOJA……..TRY AGAIN ATOA TAMKO LA KISHUJAA BALEKE HUYOOO JANGWANI, ISHU KAMILI IKO HIVI YANGA WANABALAA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply