Habari za michezo
AZIZ KI ATAMBA YANGA, ABEBA MILIONI 4 KIBOSI
Staff Desk
October 31, 2023
11:32 am
Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Oktoba ndani ya Yanga SC baada ya kuwashinda Dickson Job na Max Nzengeli ambao walichaguliwa kuwania tuzo hiyo.
Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Oktoba ndani ya Yanga SC baada ya kuwashinda Dickson Job na Max Nzengeli ambao walichaguliwa kuwania tuzo hiyo. Aziz Ki atazawadiwa kiasi cha shilingi milioni 4 na tuzo kama ilivyobainishwa awali na mdhamini wa tuzo hiyo ambaye ni Kampuni ya NIC Insurance.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.