Latest Posts

FT: YANGA 3-2 AZAM FC

AZIZ KI ATHIBITISHA KUWA YEYE NI MASTER

Wakati Yanga wakiendelea kushangilia ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya waoka Mikate wa Azam FC. Kuna mtu mmoja kutoka Taifa la Burkinafaso aliliona hilo akaamua…

Habari za Yanga SC

MASTAA HAWA YANGA WAITWA TIMU ZA TAIFA

Wachezaji watatu wa kigeni Yanga SC, kipa wa Kimataifa wa Mali, Djigui Diarra na viungo Mganda Khalid Aucho na Mburkinabe Stephane Aziz Ki wamekwenda kujiunga…