FT: YANGA 3-2 AZAM FC
Habari za michezo

AZIZ KI ATHIBITISHA KUWA YEYE NI MASTER

Staff Desk October 25, 2023 11:10 am

Wakati Yanga wakiendelea kushangilia ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya waoka Mikate wa Azam FC.

Kuna mtu mmoja kutoka Taifa la Burkinafaso aliliona hilo akaamua kujivika jukumu la ushujaa kwa upande wa Wannachi.

Wakati ufanyaji wa maamuzi na pasi sahihi kwenye maeneo ya mbele yalionekana kutokuwa sahihi kutoka kwa timu zote mbili pengine kutokana na presha ya mchezo na ndio maana uwezo binafsi umeonekana kutokea pande zote mbili lakini kama unahitaji uwezo binafsi wa mtu mmoja tu ukuamulie mechi ya mpira wa miguu basi utaupata kwa Stephane Aziz Ki.

Ball Striking ya Aziz Ki ikiwa kwenye full flow inakufanya uone kuwa ukilenga goli tu basi umefunga lakini ukweli ni kwamba it’s far from that. Jamaa anajua kupiga haswa na anazijua angle zake vizuri.

SIRI YA MAKALI YA AZIZI KI UKIACHANA NA JACKPOT YA MIL 200, KUNA MGAO WA MIL 2 KWA KILA MTU NDANI YA MERIDIANBET..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply