Desiree Ellis Aweka Wazi Vita ya Banyana Banyana na Nigeria Njia ya Kombe la Dunia 2027
KOCHA mkuu wa timu ya taifa ya wanawake ya Afrika Kusini (Banyana Banyana), Desiree Ellis, amesema wanatambua ugumu na uzito wa kibarua kilichopo mbele yao…
KOCHA mkuu wa timu ya taifa ya wanawake ya Afrika Kusini (Banyana Banyana), Desiree Ellis, amesema wanatambua ugumu na uzito wa kibarua kilichopo mbele yao…
Mabingwa watetezi wa Soka la Wanawake Barani Afrika, Afrika Kusini (Banyana Banyana), wamejikuta kwenye wakati mgumu katika mashindano ya WAFCON 2026 baada ya kuanza vibaya…
Afrika Kusini Yaamka Kiumeni na Kulazimisha Sare ya 2-2 Dhidi ya Ivory Coast Timu ya Taifa ya Wanawake ya Afrika Kusini (Banyana Banyana) imeonyesha ujasiri…