YANGA YAANZA NA HESABU HIZI KALI CAF
Kikosi cha Young Africans kimerudi uwanjani kujifua baada ya kutoka kucheza mchezo mgumu wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo iliyoamua kucheza nusu uwanja ili…
Kikosi cha Young Africans kimerudi uwanjani kujifua baada ya kutoka kucheza mchezo mgumu wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo iliyoamua kucheza nusu uwanja ili…
Aliyekuwa kiungo wa Simba SC na Young Africans, Haruna Niyonzima ameutazama moto wa Young Africans mpya chini ya Muargentina, Miguel Gamondi na kutamka kuwa ana…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka East Africa Radio, Master Tindwa amesema kuwa wapinzani wa Yanga SC kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika,…
Klabu ya Yanga imefanikiwa kutinga hatua ya pili ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuifunga ASA FC ya Djibouti kwa jumla ya…
Wakati Yanga ikifuzu kwa jeuri hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikitupa nje ASAS ya Djibouti kocha wao wa zamani Nasreddine Nabi naye…
Unaweza kusema kiungo Khalid Aucho ameanza na gia kubwa msimu huu. Kiungo huyo wa Kimataifa kutoka Uganda alin’gara katika kikosi cha Yanga kwenye mechi mbili…
Wachezaji wa Young Africans wamesema kwa sasa nguvu na akili zao wamezielekeza katika mchezo wa hatua wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika, huku kikubwa…
Uongozi wa Klabu ya Simba SC, umesema kwa sasa unaendelea kujiweka sawa ili kuiwezesha timu yao inafanya vizuri katika Michuano ya CAF Super League, itakayoanza…
dili la mshambuliaji Mcameroon, Emmanuel Mahop limeingia mdudu na limebakiza sekunde chache kabisa kuishia njiani. Amewagawa mabosi wa Yanga ambapo wengi wameingiwa mashaka haswa wakiangalia…
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limetangaza kufanyika kwa droo ya hatua ya awali kwa Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, Julai 25,…