Latest Posts

KOCHA WYDAD HALI SI SHWARI TENA

Uongozi wa Klabu ya Wydad Ac ya Morocco muda wowote unaweza kumfuta kazi kocha wao Mkuu Adel Ramzi. Taarifa inathibitisha kuwa muda wowote kuanzia Sasa…

Yanga SC na Simba SC

SIMBA YANGA VICHEKO TU

Saa kumi juu ya alama Simba itakuwa kwenye kwenye Uwanja wa Obed Itani Chilume, Botswana kuikabili Jwaneng Galaxy mechi ya Kundi B. Awali ilikuwa kipigwe…