Azam Yatafuta Majibu Baada Ya Simba: Coastal Union Sasa Kipimo Cha Ibenge
Azam FC inarejea baada ya kipigo cha 2-0 dhidi ya Simba, huku Coastal Union ya Oktoba 8 ikiwa kipimo cha reaction ya Florent Ibenge.
Azam FC inarejea baada ya kipigo cha 2-0 dhidi ya Simba, huku Coastal Union ya Oktoba 8 ikiwa kipimo cha reaction ya Florent Ibenge.
Kocha Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, ametumia mapumziko ya kalenda ya FIFA kuanza mchakato mzito wa kukinoa na kukijenga upya kikosi chake, huku akiweka…
Azam FC ina muda wa kusahihisha maeneo muhimu baada ya mchezo wa Simba huku mashindano ya CAF yakikaribia; uchambuzi wa changamoto za Ibenge.
Kocha Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amebainisha kuwa ukosefu wa umakini pamoja na kupoteza mipira kirahisi ndivyo vitu vilivyowagharimu na kuwapa Simba SC ushindi…
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, ameelezea kufurahishwa kwake na viwango vya juu vilivyoonyeshwa na klabu za Tanzania kwenye michuano ya Shirikisho la Mpira…
Wakati klabu za Simba SC, Yanga SC, na Singida Black Stars zikipambana kutinga raundi ya pili ya michuano ya kimataifa, Azam FC yenyewe inashuka dimbani…
Matajiri wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC, wameingia katika msimu mpya wa soka wakiwa na mipango mikubwa na ya kishindo. Uongozi wa klabu…