YANGA HUKO NI KAZI KAZI HAINA KUPOA
Uongozi wa Yanga umebainisha kuwa kazi bado inaendelea kwenye mechi za kitaifa na kimataifa lengo ikiwa ni kupata matokeo chanya. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel…
Uongozi wa Yanga umebainisha kuwa kazi bado inaendelea kwenye mechi za kitaifa na kimataifa lengo ikiwa ni kupata matokeo chanya. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel…
UONGOZI wa Yanga ni kama umempa maagizo mazito kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamond baada ya kusema kwa kuwa msimu uliopita walifika fainali ya…
Mchambuzi mbobezi wa michezo kutoka EFM, Jemedari Said Kazumari amesema kuwa kiungo wa Klabu ya Yanga, Max Mpia Nzengeli yupo Yanga kwa mkopo akitokea AS…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka East Africa radio, Samwel Rashid mwenyewe anajiita Wakanda Republic amesema kuwa Klabu ya yanga wanao uwezo wa kuujaza…
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi amesema kuwa amefurahishwa na hatua ya mchezo wao wa Raundi ya kwanza wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika…
Baada ya moja ya Mashabiki wa Yanga SC kuhoji kuhusu kesi za madai pamoja na kufungiwa na FIFA kufanya usajili ambazo zimekuwa zikiiandama klabu yake…
Klabu ya Yanga imesema kuwa wakati huu ambapo ligi imesimama wanataraji kucheza mchezo wa kirafiki siku ya Jumapili lakini jina la timu bado halijawekwa hadharani.…
Yanga imeanza msimu mpya kwa kasi ikigawa dozi kwenye michuano mbalimbali inayoshiriki, lakini kama unadhani kocha Miguel Gamondi ameridhika na kasi hiyo unakosea, kwani ametoa…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia wa Argentina, ameamua kuwapeleka ufukweni wachezaji wote wa kikosi hicho akiwemo Maxi Nzengeli ikiwa ni maandalizi ya mchezo…
Wakati Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi akitamba kwa sasa mchezaji yoyote kwenye kikosi chake anaweza kufunga mabao, timu hiyo inaonyesha makali zaidi katika kipindi…