KUMBE BENCHIKAH AKUMBWA NA MATATIZO HAYA MAZITO…SIMBA WANYOOSHA MIKONO JUU
TAARIFA KWA UMMA Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya pande mbili ya kuvunja mkataba kati yetu na Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha pamoja na…
TAARIFA KWA UMMA Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya pande mbili ya kuvunja mkataba kati yetu na Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha pamoja na…
Nyota wa Yanga, Pacome Zouzoua ameanza rasmi mazoezi na timu hiyo baada ya kukosekana kutokana na majeraha ya goti aliyoyapata wakati wa mchezo wa Ligi…
Kiungo wa Simba Clatous Chama anayemaliza mkataba mwishoni mwa msimu huu ametajwa kuhusisha na Yanga, zikiwa zimebaki wiki chache kabla msimu haujamalizika. Mkataba wa Chama…
Wakati Yanga ikionekana kufanya vizuri na kusalia kileleni hadi sasa, lakin beki wa kushoto wa timu hiyo, Joyce Lomalisa naye kibarua chake kipo hatarini. Yanga…
Beki wa pembeni wa Simba SC, Mohamed Hussein amesema anajivunia kubeba makombe yote ya nchi hii kwa nyakati tofauti. Mohamed ameyasema hayo jana mara baada…
Huko Afrika Kusini kwenye Uwanja wa Loftus Versfeld mjini Pretoria, Mamelodi Sundowns ilishindwa kutumia vyema fursa ya kucheza nyumbani dhidi ya Esperance na kuchapwa 1-0…
Leo Aprili 26, 2024 ni siku 125 tangu aliyekuwa straika wa Simba. Jean Baleke alipofunga bao lake la nane. Desemba 23. 2023 dhidi ya KMC…
Kocha Msaidizi JKT Tanzania George Mketo amesema walifanya mazoezi ya kuwakaba Yanga wachezaji wao hatari akiwemo Aziz ki akiwa anatokea pembeni ndio maana waliwapanga walinzi…
Msanii wa Bongo Fleva na msanii maarufu wa Bongo Fleva, Peter Msechu amesema kuwa iwapo kikosi cha Yanga kitafungwa kesho dhidi ya watani wao Simba…