Tag: Habari za Michezo
SIMBA SC KUSHUSHA WINGA… ANATOKA DR CONGO.. NI FUNDI HASWA
KLABU ya Simba wapo kwenye mazungumzo na mshambuliaji kutoka klabu ya AS Vita, Elie Mpanzu, ili kupata huduma yake.
Simba ipo kwenye mchakato wa kuboresha...
WAKATI VYUMA VIPYA VIKITAJWA KUTUA …GAMONDI AWAPIGA MKWARA MASTAA YANGA…
Kocha Mkuu wa Young Africans Miguel Gamondi amewatega wachezaji wake kwa kuwaambia kuwa mchezaji atakayeshindwa kuonyesha kiwango bora katika Kombe la Mapinduzi, basi safari...
KUHUSU KURUHUSU MAGOLI KIZEMBE…CHE MALONE AANIKA ‘ISHU’ YAKE NA INONGA….
Beki kisiki wa Klabu ya Simba, Che Fondoh Malone Junior raia wa Cameroon amekiri kuwa wana mapungufu katika safu yao ya ulinzi ndiyo maana...
BAADA YA KUBANJULIWA 3-O JANA….JEMEDARI SAID KAIBUKA NA ‘DONGO’ HILI...
Klabu ya Yanga 'Wananchi' wameianza hatua ya makundi kwa kichapo cha mabao 3-0 katika mchezo wa kwanza wa Makundi baada ya kukubali kufungwa na...
SIMBA vs ASEC MIMOSAS…,MBIVU NA MBICHI HIZI HAPA….,MASTAA HAWA KUKOSEKANIKA…..
SIMBA leo inashuka dimbani kumenyana na Asec Mimosas ya Ivory Coast katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mchezo...
HII HAPA CV LA KUTISHA LA KOCHA MPYA WA SIMBA….MSHAHARA WAKE...
Ikiwa imepita miezi kadhaa Wanayanga wakiwa na kumbukumbu mbaya baada ya kupoteza Kombe la Shirikisho Afrika mbele ya USM Alger iliyokuwa chini ya Kocha...
SAA CHACHE KABLA YA KUWAVAA WAARABU LEO….JEURI YA YANGA LEO IKO...
ZIKIWA zimesalia saa chache kabla ya Mabingwa wa Tanzania Yanga kushuka Uwanja wa ugenini dhidi ya CR Belouizdad kuna mechi sita zitakazowapa presha Waarabu...
SAFARI YA UKAME WA MIAKA 25 KWA YANGA NDANI YA CAF...
SAA 4 usiku usiguse rimoti. Yanga itakuwa palepale iliposhinda siku ile dhidi ya USM Algers lakini wakakosa Kombe la Shirikisho Afrika sababu ya kikanuni...
KUELEKEA MECHI YA KESHO….CADENA AWASHIKA PABAYA WAIVORY… MO DEWJI KUMALIZA KAZI...
ASEC Mimosas ya Ivory Coast, tayari ipo nchini kuwahi pambano la kwanza la Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya Simba, lakini...
ISHU YA MAXI KUTAKIWA SIMBA UKWELI HUU HAPA…TIMU YAKE YA CONGO...
YANGA wako Algeria na kesho watapambana na CR Belouizdad ya huko kwenye mechi ya kwanza ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika lakini huku...