Tag: Habari za Michezo
MAPYA YAIBUKA SAKATA LA CLATOUS CHAMA…HAPOKEI SIMU ZA YANGA
TAARIFA kutoka chanzo cha kuaminika Simba SC, kinaeleza kwamba Sakata la Clatous Chama kujiunga na Yanga bado ngoma ni mbichi, kwa sababu Chama hajafurahishwa...
KUNA HII KAULI YA SENZO YANGA…MAMBO MAZURI YANAKUJA
ALIYEKUWA CEO wa Yanga, Muafrika Kusini Senzo Mbatha amesema mrithi wake Andre Mtine anastahili pongezi nyingi kutokana na mafanikio ya timu hiyo.
Senzo aliiongoza Yanga...
AZAM WAPIGA MKWARA MZITO SIMBA & YANGA
UONGOZI wa Azam FC umebainisha kuwa kwenye anga la kimataifa wanaimani watafanya kitu kikubwa ambacho kitawashangaza wengi ambao hawana imani na timu hiyo.
Ipo wazi...
AZIZ KI KUMFUATA MAYELE, SIMBA WAMKATAA LOMALISA
WAKATI Yanga wakipambana kumbakiza, Stephane Aziz Ki ambaye ndiye kinara wa upachikaji wa mabao msimu huu (21) inaelezwa Pyramids FC ya Misri imeonyesha nia...
SABABU ZA MO DEWJI KUMKATAA CHAMA SIMBA…HIZI HAPA
KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amekwama mazima ndani ya Simba kuifikia rekodi yake ya kuwa namba moja katika kutengeneza pasi za mwisho ndani ya...
AZIZ KI NA REKODI HIZI YANGA HANA MPINZANI
MWAMBA Aziz Ki ni mtambo wa kuvunja rekodi ndani ya kikosi cha Yanga kutokana na kasi yake kuwa kwenye mwendelezo bora wakati wote kwenye...
MATOLA, ZAKAZAKAZI, KOMBA…WATOA USHAURI VAR LIGI KUU
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema Serikali inakusudia kuwasilisha pendekezo la kuondoa kodi kwenye vifaa vya teknolojia inayomsaidia mwamuzi kufanya marejeo ya picha (Video...
HABARI ZA USAJILI YANGA: DENIS NKANE HUYOO…KIJANA KACHOKA
WAFANYABIASHARA wa Mara wanataka kuendeleza biashara yao kwa kinda wa Yanga Denis Nkane, ilikuongeza nguvu kwenye kikosi chao ambacho kinajipanga kufuzu Ligi Kuu Tanzania...
TETESI ZA USAJILI YANGA…LOBOTA ANUKIA…ANAJUA KUFUNGA
KLABU ya Yanga ipo kwenye mazungumzo ya karibuni zaidi na mshambuliaji wa klabu ya Ihefu Emmanuel Bola Lobota.
Lobota aliyejiunga na Ihefu katika dirisha dogo...
MTAKOMA…YANGA KUJENGA UWANJA WAO…KILA KITU TAYARI
HABARI ZA YANGA LEO; Serikali imefikia uamuzi wa kutoa ruhusa kwa klabu ya Yanga kujenga uwanja wake wa kisasa katika eneo la Jangwani yalipo...