POWER DYNAMO WALIFICHA SILAHA ZAO HAPA KUHUSU SIMBA
Shabiki wa Klabu ya Simba, Aggy Danny maarufu kama Aggy Simba, amesema kuwa wapinzani wao kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa frika, Power Dynamos ya…
Shabiki wa Klabu ya Simba, Aggy Danny maarufu kama Aggy Simba, amesema kuwa wapinzani wao kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa frika, Power Dynamos ya…
Licha ya kuwahi kucheza na Power Dynamos ya Zambia na kupata matokeo mazuri, lakini Kocha mkuu wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ anaendelea kuwafatilia kwa umakini…
Rais wa Yanga SC, amemtembelea Mwenyekiti wa zamani wa klabu, Dk. Jabir Idris Katundu mapema leo nyumbani kwake Ilala Jijini Dar es Salaam na kuzungumza…
Klabu ya Yanga Sc inatarajia kuondoka nchini leo Alhamisi, Septemba 14, 2023 kuelekea nchini Rwand bila nahodha wao Bakari Ndono Mwamnyeto. Nahodha huyo ataukosa mchezo…
Kikosi cha Yanga kinahesabu saa tu kabla ya leo jioni kuanza safari kuwafuata wapinzani wao, Al Merrikh lakini kuna hesabu za kimafia zimepigwa na mabosi…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
MIGUEL Gamondi ambaye ni Kocha Mkuu wa Yanga, ameibuka na kusema kuwa, mapumziko ya muda mrefu huenda yakamfanya kuanza upya kukisuka na kuwaongezea fitinesi ambayo…
Kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya amefunguka staili yake ya kushangilia aloitumia baada ya kufunga bao katika mechi ya ufunguzi kwenye Ligi Kuu dhidi ya KMC…
Mtendaji Mkuu wa Yanga Andrew Mtine amewajibu wale wote waliokuwa wanachukulia poa timu ya Yanga kufanya Maandalizi yao ya Msimu ndani ya nchi na sio…
Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo ‘Robertinho’ raia wa Brazil amesema kuwa aliwabadilishia mbinu wapinzani wake Power Dynamos ya Zambia…