Habari za Yanga
Habari za michezo

MWAMNYETO KUIKOSA AL MARREKH ISHU IKO HIVI

Staff Desk September 14, 2023 1:50 pm

Klabu ya Yanga Sc inatarajia kuondoka nchini leo Alhamisi, Septemba 14, 2023 kuelekea nchini Rwand bila nahodha wao Bakari Ndono Mwamnyeto.

Nahodha huyo ataukosa mchezo wa kwanza wa kutafta mshindi wa kufuzu hatua ya makundi ya Caf Champions League dhidi ya El-Merrikh kutokona na matatizo ya kifamilia.

Kocha Gamondi ameshampa ruhusa ya kwenda kushugulika na matatizo ya kifamilia hivyo Nondo ataungana na timu pindi itakapokuwa imerudi kutoka Rwanda.

GAMONDI AWAFANYIA UMAFIA WAARABU RAIS WA YANGA AWATEMBELEA VIGOGO HAWA WA JANGWANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply