Habari za michezo
RAIS WA YANGA AWATEMBELEA VIGOGO HAWA WA JANGWANI
Staff Desk
September 14, 2023
1:55 pm
Rais wa Yanga SC, amemtembelea Mwenyekiti wa zamani wa klabu, Dk. Jabir Idris Katundu mapema leo nyumbani kwake Ilala Jijini Dar es Salaam na kuzungumza mambo mbali mbali kuhusu klabu hiyo.
Rais wa Yanga SC, amemtembelea Mwenyekiti wa zamani wa klabu, Dk. Jabir Idris Katundu mapema leo nyumbani kwake Ilala Jijini Dar es Salaam na kuzungumza mambo mbali mbali kuhusu klabu hiyo. Mzee Jabir Katundu pia amewahi kuwa Katibu mkuu wa Yanga kati ya mwaka 1962 na 1966 chini ya Mwenyekiti Mohamed Mabosti, kabla ya kuwa Mwenyekiti kuanzia mwaka 1992 hadi 1996.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.