MASTAA HAWA SIMBA, WYDAD KUUKOSA MCHEZO WA MARUDIANO KWA MKAPA
Kiungo mkabaji wa simba Sadio kanoute na nahodha wa timu ya Wydad, Yahya Jabrane wataukosa mchezo wa marejeano wa Ligi ya Mabingwa Afrika katika hatua…
Kiungo mkabaji wa simba Sadio kanoute na nahodha wa timu ya Wydad, Yahya Jabrane wataukosa mchezo wa marejeano wa Ligi ya Mabingwa Afrika katika hatua…
Kocha wa Simba Oliveira Robertinho amefurahishwa na namna ambavyo wachezaji wake walipambana jana licha ya kuondolewa kwenye michuano. Simba jana ilikuwa mgeni wa Al Ahly…
Sadio Kanoute Putin mimi napenda kumuita Midfielder Dynamo. To be honest kipindi cha pili kijana kabadilisha mchezo mzima…..kwanza kaongeza kasi ya mchezo,fujo kwenye pressing na…
Kiungo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), Fabrice Ngoma ni wazi amewaweka mtegoni viungo Sadio Kanoute na Mzamiru Yassin katika vita ya kuwania nafasi…