AZAM FC NA MATUMAINI YA UBINGWA LIGI KUU
Kocha Mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo, amesema bado kikosi chake kipo kwenye mbio za ubingwa na kwa sasa wanaendelea na maandalizi kwa ajili ya…
Kocha Mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo, amesema bado kikosi chake kipo kwenye mbio za ubingwa na kwa sasa wanaendelea na maandalizi kwa ajili ya…
Kila timu inaposhuka uwanjani mpango kazi mkubwa ni kupata ushindi. Iwe ni kwenye mchezo wa kirafiki hata ule wa ushindani malengo bado yanabaki palepale kwa…
Kwenye mechi zao za ligi kwa kuweka wazi kuwa watendelea kasi yao ileile waliyoanza nayo kwenye mechi za ugenini. Ipo wazi kuwa kwenye mechi mbili…
Yanga inavuma kila sehemu ikiwa ya moto uwanjani ikiendeleza kasi ya kulitaka taji la tatu mfululizo la Ligi Kuu Bara, lakini kuna mambo matatu mazito…
Utamu wa Ligi Kuu Bara umesimama kwa muda wa kama wiki mbili ili kupisha michezo ya kimataifa. Taifa Stars inakabiliwa na mechi mbili mfululizo za…
Mchora ramani za ushindi ndani ya kikosi cha Yanga, Miguel Gamondi amewapa majukumu mengine mastaa wake wakiongozwa na muunganiko wake matata wa PAM unaowajumuisha Pacome…
Kikosi cha Simba SC kimeendelea kuharibu ubao wake baada ya kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Namungo FC, mchezo uliopigwa jana katika Dimba la…
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amepata kigugumizi na kushindwa kusema iwapo msimu huu watachukua ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC. Akizungumza kufutaia…
Wekundu wa Msimbazi Simba SC wamelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Namungo mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Novemba 9 Uwanja wa Uhuru.…
Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ ameeleza eneo ambalo Yanga waliwazidi ujanja ni kwenye viungo. Tshabalala amesema, mwalimu aliwapa mpango wao mzuri na wao…