MABOSI YANGA WATUMIA JEURI YA PESA KUIANGUSHA AL AHLY
Kamati ya Mashindano ya Klabu ya Young Africans imeweka mpango mkakati wa kuipeleka klabu hiyo Hatua ya Robo Fainali, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, kwa…
Kamati ya Mashindano ya Klabu ya Young Africans imeweka mpango mkakati wa kuipeleka klabu hiyo Hatua ya Robo Fainali, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, kwa…
Wale Al Ahly hawajaisha kihiiivyo kama ambavyo watu hapa kwetu wanaaminishana wakati huu ambao mechi yao dhidi ya Yanga inakaribia kupigwa kesho Kwa Mkapa. Tatizo…
Msongo wa kukosa matokeo mazuri bado inaonekana kuwakumba mashabiki wa Simba baada ya kuibuka kwa idadi ndogo kuipa nguvu timu yao. Simba itashuka Uwanja wa…
KWA mara ya kwanza kwenye soka la Tanzania, klabu za Simba na Yanga zinatengeneza historia kwa kucheza kwa pamoja hatua ya makundi ya Ligi ya…
HUENDA ulikuwa hujui. Sasa sikia hii. Michuano ya Klabu Bingwa Afrika (sasa Ligi ya Mabingwa Afrika) wakati inaanzishwa rasmi mwaka 1964-1965, timu za Afrika Magharibi…
Fiston Mayele atakabiliana na Wakongomani wenzake wakati klabu yake ya Pyramids ikivaana na TP Mazembe katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi…
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi inaanza leo kwa mechi mechi mbili za kibabe, Yanga ikiwa ugenini Algeria dhidi ya CR Belouizdad,…
Klabu ya Young Africans haijafanya mazoezi yake tangu ilipofika nchini Algeria baada ya vifaa vyao kubaki kwenye ndege waliyokuwa wanasafiria. Mjumbe wa kamati Alex Ngai…
Wakati uongozi wa Yanga ukianza kuandaa mikakati ya namna ya kuvuna alama zote tisa kwenye mechi zake za nyumbani za hatua ya makundi za Ligi…
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka nchini Algeria, Chabab Riadhi de Belouizdad ‘CR Belouizdad’, Marcos Paqueta raia wa Brazil amejikuta akiweka wazi mapema kuwa anatarajia…