Habari za michezo

KIVUMBI LEO, MAYELE KINUMANA NA TP MAZEMBE LEO

Staff Desk November 24, 2023 2:50 pm

Fiston Mayele atakabiliana na Wakongomani wenzake wakati klabu yake ya Pyramids ikivaana na TP Mazembe katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2023/24.

TP Mazembe ipo kundi A sambamba na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, Pyramids ya Misri na Nouadhibou ya Mauritania.

Mchezo huo utapigwa leo Novemba 23, Saa 10:00 jioni nchini Misri.

CHE MALONE AFUNGUKA KILA KITU KUHUSU BIFU LAKE NA INONGA KWA NAMNA HII HAWA SIMBA WATATOBOA KWELI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply