VIGOGO HAWA WA SIMBA WANAPUMUA SASA BAADA YA MSALA HUU
Presha ilikuwa kubwa sana kwa wazee wangu wale wawili, Salim Abdallah ‘Try Again’ na Murtaza Mangungu ndani ya Simba Sports Club. Baada ya Simba kupitia…
Presha ilikuwa kubwa sana kwa wazee wangu wale wawili, Salim Abdallah ‘Try Again’ na Murtaza Mangungu ndani ya Simba Sports Club. Baada ya Simba kupitia…
Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu, amesema timu yao imepitia kipindi kigumu cha kukosa matokeo lakini sasa wameanza kuyapata hivyo mashabiki waiunge mkono timu. Amesema…
Uongozi wa Simba SC, kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi, Salim Abdallah na Mwenyekiti wa Simba SC pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wamekutana na wanachama wa…
WAKATI uongozi wa Simba ukiendelea na mchakato wa kuziba nafasi ya benchi la ufundi, Kaimu Kocha Mkuu wa Simba Daniel Cadena amesema wameanza maandalizi ya…
Mchambuzi kutoka Wasafi Fm Ricardo Momo amewapa ushauri viongozi wa Simba wajifunze kwa Rais wa klabu ya Yanga SC Injinia Hersi Said namna ambavyo anaendesha…