NAMUNGO vs YANGA VIINGILIO HADHRANI, MAMBO YAPO HIVI
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amewataka Wanachama na Mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo wa ligi kuu…
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amewataka Wanachama na Mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo wa ligi kuu…
Kocha Mkuu wa Namungo ambaye msimu uliopita alikuwa Msaidizi pale Yanga, Cedric Kaze anaendelea kukinoa kikosi chake ili wafanye kweli tarehe 20 dhidi ya Yanga…
BAADA ya ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Agosti 15 kushuhudia wageni wa ligi hiyo JKT Tanzania wakipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Namungo,…
Aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Cedric Kaze, yupo njiani kutangazwa kuwa sehemu ya Benchi la Ufundi la Namungo FC.…
WAKATI vilabu mbalimbali vikiwa katika harakati za usajili na maandalizi kwa ajili ya msimu ujao, timu ya Namungo imeweka kambi mkoani Arusha. Taarifa ya Namungo…
Namungo FC imepata mwaliko kutoka Shirikisho la Soka la Burundi (FFB), kwa ajili ya kwenda kucheza mchezo maalum wa kirafiki wa kimataifa mwishoni mwa mwezi…