Habari za Michezo Bongo
Habari za michezo

NAMUNGO KUIVURUGA YANGA, KAZE AMFANYIA UMAGIA GAMONDI

Staff Desk September 18, 2023 7:08 pm

Kocha Mkuu wa Namungo ambaye msimu uliopita alikuwa Msaidizi pale Yanga, Cedric Kaze anaendelea kukinoa kikosi chake ili wafanye kweli tarehe 20 dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa NBC Primier League.

Kocha Mkuu wa Namungo ambaye msimu uliopita alikuwa Msaidizi pale Yanga, Cedric Kaze anaendelea kukinoa kikosi chake ili wafanye kweli tarehe 20 dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa NBC Primier League. Yanga wametamba kuifumua Namungo ili kurudi kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu Bara ambao unaongozwa na Mashujaa FC kutoka Mkoani Kigoma.

ROBERTINHO MATATANI SIMBA, UONGOZI WATOA TAMKO HILI NAMUNGO vs YANGA VIINGILIO HADHRANI, MAMBO YAPO HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply