Habari za michezo
ROBERTINHO MATATANI SIMBA, UONGOZI WATOA TAMKO HILI
Staff Desk
September 18, 2023
7:03 pm
Taarifa za ndani kutoka Simba zinaeleza kuwa Kibarua cha kocha wa Simba kipo mashakani hiyo ni baada ya Uongozi wa Simba kumpa mechi moja ya marudiano vs Power Dynamos endapo Simba itashindwa kufuzu basi watamfukuza.
Robertinho amepewa taarifa hiyo na uongozi huo baada ya sare ya ugenini waliyoipata Zambia na kuambiwa kuwa ili aendelee kusalia basi anatakiwa kuipeleka Simba kwenye makundi kwa kuwaondoa Power Dynamos.
Viongozi hawataki utani kabisa na Simba wamesajili vizuri wamempa Kila kitu kwahiyo wamempa mechi moja Simba lazima ifuzu hatua ya Makundi.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.