Habari za Simba SC
Habari za michezo

UCHOCHORO WA SIMBA KUWA KIBONDE UKO HAPA

Staff Desk September 18, 2023 2:17 pm

Tangu Golikipia namba moja wa Simba SC, Aishi Manula apate majeraha ambayo ndiyo yamemweka nje mpaka sasa, Simba imekuwa sio timu tena ya kuhakikisha inalilinda lango lake kwa asilimia zote ili mpinzani asipate nafasi ya kuchafua Gazeti.

Hili linathibitishwa na takwimu za sasa ambazo zinaonesha kwamba Timu hiyo katika mechezo yao mitatu ya mwisho ukijumlisha na wa juzi dhidi ya Power Dynamos wameruhusu magoli 5 na mchezo pekee ambao hawakuruhusu goli ni dhidi ya Dodoma Jiji pekee.

Takwimu za Simba katika mechi nne za mwisho

Simba SC v Ziré (1-1)❌

Mtibwa Sugar v Simba SC (4-2)❌

Simba SC v Dodoma Jiji (2-0) ✅

Power Dynamo’s v Simba (2-2)❌

Mechi – 4

Cleansheet – 1.

ROBERTINHO AKUNA KICHWA AONA HAPANA……….. SASA AMEKUJA NA HESABU HIZI ROBERTINHO MATATANI SIMBA, UONGOZI WATOA TAMKO HILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply