ROBERTINHO ATAMBA NA SOKA BIRIANI
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliviera Robertinho ameibuka na kutamka kuwa kiwango ambacho wamekionyesha wachezaji wake mchezo dhidi ya Tanzania Prisons kimewaziba midomo wale…
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliviera Robertinho ameibuka na kutamka kuwa kiwango ambacho wamekionyesha wachezaji wake mchezo dhidi ya Tanzania Prisons kimewaziba midomo wale…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ ana jambo lake ndani ya timu hiyo kwani imefichuka ameagiza benchi lake la ufundi kutumia michezo yao…
Kutokana na kikosi cha Simba kucheza mechi mbili za Ligi ya Mabingwa Afrika mpira papatupapatu, Kocha Mkuu wa Simba Robert Oliveira ameweka wazi kuwa watafanya…
Wakati Mashabiki wa Simba wakilalamika kiwango kibovu cha Simba katika michezo miwili ya hatua ya mtoano dhidi ya Power Dynamos ya Zambia. Kuna waliokwenda mbali…
Kocha Mkuu wa Simba Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema kwa kiasi kikubwa benchi la ufundi pamoja na wachezaji wamefurahi kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya…
Kuelekea mchezo dhidi ya Mabingwa wa Soka nchini Zambia Power Dynamos, Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliviera amewapa jukumu zito viungo wake. Simba SC…
Vikosi vya Simba na Yanga zinaendelea kujifua kwa ajili ya mechi za marudiano za Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kila moja kutoka kupata ushindi…
Simba inakwenda vizuri chini ya kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’. Majuzi imepata ushindi wa tatu mfululizo katika Ligi Kuu Bara. Ipo nafasi ya tatu nyuma ya…
Klabu ya Simba imesema kuwa haijafikiria kuachana na kocha wake mkuu, Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, ‘Robertinho’ raia wa Brazil kwani amefanya kazi nzuri na…
Taarifa za ndani kutoka Simba zinaeleza kuwa Kibarua cha kocha wa Simba kipo mashakani hiyo ni baada ya Uongozi wa Simba kumpa mechi moja ya…