HUYU HAPA MWAMUZI WA KIKE…ALIYEANDIKA REKODI YA HATARI…KARIAKOO DABI
Jonesia Rukyaa ndiye mwamuzi wa kwanza kuchezesha derby mbili ndani ya siku 25 katika msimu mmoja huku mmoja ukichezwa Uwanja wa Uhuru na mwingine Benjamini…
Jonesia Rukyaa ndiye mwamuzi wa kwanza kuchezesha derby mbili ndani ya siku 25 katika msimu mmoja huku mmoja ukichezwa Uwanja wa Uhuru na mwingine Benjamini…
Kama utani imetimia miaka 45 sasa tangu mchezaji mmoja alipofanikiwa kufunga magoli matatu ‘hat-trick’ kwenye Dabi ya Kariakoo. Ilifungwa na Abdallah ‘King’ Kibadeni mwaka 1977.…
JANA Aprili 16, 2023 ilikuwa dabi ya Kariakoo. Miaka 40 iliyopita tarehe kama hiyo, Simba ilikubali kichapo cha mabao 3-1. Ndio ilikuwa ni Aprili 16,…
Kila mchezaji wa Simba alikuwa anajaribu kumlinda Ally Salim Juma kiakili na kimwili ili aendelee kuwepo kwenye mchezo. Utaona kila alipokuwa akifanya jambo zuri karibu…
NI zaidi ya miaka 15 sasa anaitumikia Bongofleva kwa maslahi mapana ya mashabiki wake, ana sauti ya kuvutia, anajua kucheza na jukwaa na anapendwa na…
Meneja wa mshambuliaji kinara wa Simba, Jean Othor Baleke raia wa Congo DR, Clovis Mashisha amekiri kuwa mchezaji huyo ana mkataba na Klabu ya TP…
Golikipa namba moja wa Simba SC,Aishi Manula, amempongeza golikipa namba tatu wa timu hiyo kwa kuweza kuhimili mechi ya dabi na kuondoka na clean sheet.…
Simba na Yanga zinakutana kwa mara ya 110 kwenye Ligi Kuu wikiendi hii tangu Jumatatu ya Juni 7, 1965. Yanga ilishinda bao 1-0 kwenye mechi…
Zikiwa zimebaki saa Chache kuanza kwa mtanange wa Simba na Yanga hali inaonekana kupoa nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa tofauti na ilivyozoeleka kwenye derby…
Presha ya mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga imeanza kupanda na kushuka kwa wanachama na mashabiki wa timu hizo kongwe. Timu hizo zenye…