Tag: Simba SC
LEONEL ATEBA AKALISHWA CHINI SIMBA
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema licha ya mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Leonel Ateba kufunga bao moja katika mchezo wa kirafiki wa...
FREDDY ARUDI BONGO…ATAJA KILICHOMPELEKA YANGA
BAADA ya kuondoka Simba, mshambuliaji Freddy Kouablan amerejea nchini kimya kimya, lakini akashtua kujifua na mastaa wa Yanga.
Freddy ambaye alitua Simba dirisha dogo msimu...
MGUNDA KUNA UWEZEKANO WA KUCHUKUA NAFASI ZAHERA
IMEELEZWA kuwa, Namungo FC ipoa katika mazungumza na kocha mkuu wa timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens, Juma Mgunda ili kwenda kuchukua...
FARHAN ASHINDWA KUJIZUIA KISA AISHI MANULA
BAADA ya kuaminiwa kulilinda lango la Simba kwa dakika 45 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hilal, Aishi Salum Manula alikuwa na kiwango...
NDIMBO…TUMENOGEWA KUSHIRIKI AFCON
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limesema timu yake ya Taifa Stars sasa imekuwa na uchu wa kushiriki kila fainali za Kombe la...
KWA SIMBA HII MTAFURAHI WENYEWE
HUKU wakiwa kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kupata ushindi wa mechi mbili walizocheza, Uongozi wa Simba umesema wanakiamini kikosi walichonacho...
MASHAKA AMTAJA BOCCO…AHUSIKA NA USAJILI WAKE SIMBA
Kuna vitu vimeanza kubadilika katika maisha ya mshambuliaji wa Simba, Valentino Mashaka tofauti na msimu uliopita alipokuwa anaishi akiwa Geita Gold.
Mashaka anasema tangu ajiunge...
SIMBA YAAMBULIA SARE NA AL HILAL…IBENGE AWAPA SOMO
MCHEZO WA KIRAFIKI, kati ya Simba SC na Al Hilal imemalizika kwa timu zote kutoshana nguvu ya bao 1-1.
Simba ilitangulia kufunga goli kupitia kwa...
MANULA AMUULIZA MASWALI MAZITO SPIDER MAN CAMARA
MLINDA Mlango wa Simba Aishi Salim Manula yupo kwenye kiwango bora kwenye mchezo huu dhidi ya Al Hilal na amekuwa na utulivu pale timu...
LEONEL ATEBA AANZA KUWATESA MAKIPA…MANULA BADO YUMO AISEEH
WENGI Walikuwa wanasubiri kumuona mshambuliaji mpya wa Simba Christian Leonel Ateba aliyesajiliwa dakika za jioni kabisa, kabla ya dirisha kubwa la usajili kufungwa.
Katika dimba...