Tag: Simba SC
SIFA ZA MCHEZAJI MPYA WA SIMBA ELLIE MPANZU
Nilishuhudia mechi chache za AS Vita msimu uliopita akiwepo Elie Mpanzu, sio sababu yoyote kwanini asiwe tatizo / hatari kwa wapinzani katika michuano ya...
BAADA YA MPANZU… ANAYEFUATIA SIMBA NI FEI TOTO
Mnyama Simba Sports Club, Feisal Salum 'FEITOTO' ndiye mchezaji ambae yupo kwenye Target yao, mahitaji yao ni kumpata dirisha dogo la usajili la usajili...
AWESU AFICHUA ALICHOAMBIWA NA FADLU…SIMBA IKIPATA USHINDI MGUMU.
KIUNGO wa Simba, Awesu Awesu amefunguka siri ya ushindi wa timu yake dhidi ya Dodoma Jiji kuwa ni kufanyia kazi maagizo aliyopewa na kocha...
AHMED ALLY AMJIA JUU ALI KAMWE…ACHENI KULALAMIKA
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba Ahmed Ally ameshangazwa na kauli ya Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe, kuhusu mafanikio ya...
AWESU AZIDI KUFANYA MABALAA…ASHAURIWA VYA KUONGEZA
Kuna burudani fulani huwa inatokea Kiungo wa Boli Kapteni Kucho Awesu Awesu akiwa na mpira mguuni.
Awesu Ali Awesu huwa analainisha sana mambo, simple tu...
HII NDIO MAANA HALISI YA UBAYA UBWELA!!
Haya Mambo ya Man Of the Match Simba SC kwa Misimu mitatu mfululizo walikua wanazisikia kwenye bomba lakini Msimu huu, wanabeba kila Mechi.
Hizi tuzo...
AHMED ALLY AWAJIBU WANAOBEZA USHINDI WA SIMBA…UBAYA UBWELA UMEANZA KUWAINGIA
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba Ahmed Ally ameweka wazi kuwa bado kiwango cha Simba hakijafikia asilimia 100% inayotafutwa na Kocha Fadlu...
UBAYA UBWELA WATAMBA DODOMA…REFA AZUA BALAA.
Klabu ya Simba imeshinda mchezo wake wa pili wakiwa ugenini kwa bao 0-1 dhidi ya wenyeji Dodoma Jiji.
Katika mchezo huo uliotawaliwa kwa kasi kubwa...
KIPINDI CHA KWANZA SIMBA WANASHINDANA KUKOSA MAGOLI.
Ni kama tu Simba kule kwenye eneo la mbele wanashindana kukosa nafasi za kufunga, Ateba nafasi tatu zote kashindwa kufunga, kwa aina ya "profile"...
HAJI MANARA KUHUSU KUMSHAURI FEISAL KUCHEZEA SIMBA NA SIO YANGA
Haji Manara ameoneshwa kuchukizwa na taarifa iliyokuwa inasambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikimhusisha yeye kuzungumza na aliyewahi kuwa mchezaji wa Yanga na sasa ana...