BALEKE HUYOOO JANGWANI, ISHU KAMILI IKO HIVI YANGA WANABALAA
Wakati huu ambao Yanga wanaonekana kukosa mshambuliaji sahihi wa kumrithi Straika wao alietimkia Misri Fiston Mayele. Mchambuzi wa michezo kutoka TV3, Alex Ngereza anatuarifu kuwa…
Wakati huu ambao Yanga wanaonekana kukosa mshambuliaji sahihi wa kumrithi Straika wao alietimkia Misri Fiston Mayele. Mchambuzi wa michezo kutoka TV3, Alex Ngereza anatuarifu kuwa…
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salum Abdallah ‘Try Again’ amewapa mwezi mmoja na nusu mastaa wao kutumia kipindi hicho kujihakikishia nafasi ya kubaki…
Mshambuliaji wa Singida Fountain Gate, Thomas Ulimwengu, kupitia kwenye interview na television ya Mtandaoni ya Singida Fountain Gate, amewefunguka kuhusu sababu ya kujiunga na timu…
Rafiki yangu mmoja, kiongozi wa Simba ambaye ana dhamana kubwa ya kuiongoza timu hiyo, msimu uliopita aliendelea kunisisitizia kitu alichokuwa ananiambia mara nyingi. Kwamba Fiston…
Aliyewahi kuwa Kocha wa Viungo wa Simba SC, Adel Zrane, amefungua milango ya kufanya kazi na miamba hiyo ya Msimbazi, endapo Uongozi wa juu utahitaji…
Klabu ya Simba imewataka wanachama na mashabiki wa timu hiyo kutulia, ikisema huu si wakati wa kunyoosheana vidole kwa sababu Ligi Kuu bado mbichi na…
Baada ya Mashabiki wa Simba kutangazwa kuwa mashabiki bora wa AFL 2023, Afisa habari wa klabu ya Simba Ahmed Ally amesema haya. “Tumeshinda tuzo ya…
WAKATI uongozi wa Simba ukiendelea na mchakato wa kuziba nafasi ya benchi la ufundi, Kaimu Kocha Mkuu wa Simba Daniel Cadena amesema wameanza maandalizi ya…
Salim Abdallah Muhene. Huku mtaani anafahamika zaidi kama Salim ’Try Again.’ Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba. Aliteuliwa kwa mara ya pili mwaka huu…
Taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Simba zinaeleza kuwa uongozi wa timu hiyo upo kwenye mpango wa kumtoa kwa mkopo Kiungo Mshambuliaji, Jimmyson Mwanuke katika…