Habari za Simba leo
Habari za michezo

AHMED ALLY ATUPA JIWE GIZANI BAADA YA SUPU YA YANGA JANGWANI

Staff Desk November 13, 2023 1:59 pm

Baada ya Mashabiki wa Simba kutangazwa kuwa mashabiki bora wa AFL 2023, Afisa habari wa klabu ya Simba Ahmed Ally amesema haya.

“Tumeshinda tuzo ya mashabiki bora wa Africa”

“Hongereni sana wana Simba mnastahili heshima hii, mmeonesha tofauti ya mashabiki wa mpira na wanywa Supu za vibudu”

“Sifa hiii ya Ubora tunapaswa kuilinda na kujivunia maana sio kila mtu anaweza bora. Kuilinda sifa hii ya ubora ni pamoja na kuwa wavumilivu pindi timu inapopitia nyakati ngumu”.

YANGA IPOKAMBINI MASTAA TUMBO JOTO, GAMONDI ANENA HILI MERIDIAN BET KUMWAGA TV INCH 55 MWEZI NOVEMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply