Latest Posts

African Football league

HAKUNA UNYONGE AL AHLY ANAPIGIKA MBONA

Ubora wa kikosi cha Simba ambao unazungumzwa kwenye midomo na mashabiki pamoja na viongozi ni vitu viwili ambavyo vinafikirisha. Haina maana kwamba wachezaji wa Simba…

Tetesi za Usajili Simba

ROBERTINHO AKIFUMUA KIKOSI CHA SIMBA MAPEMA

Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema anafahamu mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly utakuwa mgumu hivyo kuna mabadiliko atayafanya kwenye kikosi.…

Habari za Simba

ROBERTINHO AWAPA NENO HILI MASTAA SIMBA

Simba imewasili jijini Cairo nchini Misri tayari kwa mchezo wa kesho wa marudiano ya African Football League dhidi ya Al Ahly lakini kuna mambo mawili…

ROBERTINHO APANGUA KIKOSI UGENINI

KOCHA wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ wala hana presha na mchezo wa marudiano akiwatumia salamu Al Ahly kuwa wanakwenda kupambana, huku akipangua kikosi. Simba ilitarajiwa…

Habari za Simba leo

ONANA AJICHIMBIA KABURI MWENYEWE MSIMBAZI

Pale Simba Onana ameanza kujichimbia kaburi yeye mwenyewe kwasababu amesahau kabisa kuwa Simba sio Ihefu. Onana hakumbuki kabisa alisajiliwa kwa gharama kubwa na mbwembwe na…

Habari za Simba SC

SIMBA WATUMA VIGOGO KABLA YA KIKOSI

Imefahamika kuwa baadhi ya vigogo wa Simba SC wametangulia nchini Misri kwa ajili ya kuweka mambo sawa na moto, kabla ya mchezo wa Mkondo wa…