SIMBA WAOMBE MASTAA WAO WASIITWE
Kuelekea maandalizi ya mchezo wa ufunguzi wa African Football Legue [Simba vs Al Ahly] huenda Simba ikawakosa nyota kadhaa endapo wataitwa na kwenye timu zao…
Kuelekea maandalizi ya mchezo wa ufunguzi wa African Football Legue [Simba vs Al Ahly] huenda Simba ikawakosa nyota kadhaa endapo wataitwa na kwenye timu zao…
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira ‘Robertinho, amewapongeza wachezaji wake kwa kuonyesha kiwango kizuri katika mchezo dhidi ya Singida Fountain Gate, uliopigwa juzi Jumapili…
Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri, Marcel Koller, alia na mfululizo wa mechi huku akiitaja ratiba kuwa kikwazo kwa timu yake kupata matokeo mazuri…
Wachezaji watatu wanawania tuzo ya mchezaji bora ndani ya kikosi cha Simba kwa Septemba, 2023 ikiwa ni vita yao nyingine kumpata mbabe wao. Ndani ya…
Kocha mkuu wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema baada ya timu yake kuwa na uwezo wa kufunga kila mechi, bado kuna tatizo la mawasiliano…
Ahmed Ally ambaye Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, amesema ili wajihakikishie nafasi kubwa ya kuuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, hawataruhusu sare…
Baada ya makundi kupangwa kwa sasa ni muda wa kuanza kufanya maandalizi kwa ajili ya kupata matokeo chanya kwenye mechi za ushindani. Katika Ligi ya…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amewatetea wachezaji wake kwa kushinda mchezo dhidi ya Singida FG wakiwa na uchovu wa safari na mechi…
Mtangazaji na mchambuzi wa soka Prisca Kishamba, amesema Yanga SC, inakosa aina ya washambuliaji kama waliopo Simba SC. Prisca amesema, laiti ingekuwa na washambuliaji kama…
Kuna John Bocco mmoja tu nchini. Jamaa mmoja mrefu, ‘kauzu’ flani mwenye mzuzu kidevuni. Huyu ndiye nahodha wa Simba akitimiza msimu wa saba akiwa na…