MAYELE AWACHANA SIMBA, AWATAMANI SIO YANGA
Straika wa zamani wa Yanga Fiston Mayele akizunguzia ubora wa timu yake ya zamani Yanga kuwa inazidi kupanda kila siku, mwaka jana walicheza fainali ya…
Straika wa zamani wa Yanga Fiston Mayele akizunguzia ubora wa timu yake ya zamani Yanga kuwa inazidi kupanda kila siku, mwaka jana walicheza fainali ya…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia EA Radio, Stephen Abissay amesema kuwa soka analofundisha Kocha wa Simba SC, Robertinho ndiyo soka linalotakiwa kwa timu…
Wakati Mashabiki wa Simba wakilalamika kiwango kibovu cha Simba katika michezo miwili ya hatua ya mtoano dhidi ya Power Dynamos ya Zambia. Kuna waliokwenda mbali…
Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa wanatamani kukutana na watani zao wa jadi, Simba SC kwenye hatua ya makundi ya Ligi…
Kocha Mkuu wa Simba Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema kwa kiasi kikubwa benchi la ufundi pamoja na wachezaji wamefurahi kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya…
Kinachowateza zaidi Simba ni Yanga, hizi timu ili wewe u-enjoy ni wakati unafanya vizuri mwenzio awe anafanya vibaya. Kama timu zote zinafanya vizuri basi itatafutwa…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa Simba wanatinga hatua ya makundi wakiwa hawana furaha mashabiki, huku Kocha Mkuu, Roberto Oliveira akiweka wazi kuwa umakini…
Baada ya Simba kufanikiwa kufanikiwa kufuzu kwa hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Power…
Hadi sasa wanachokifanya Yanga Sc tangu kuanza kwa msimu huu wa mashindano mbalimbali unaweza ukaona kama ni bahati kwa jicho la kishabiki ila kiuhalisia hapana…
Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos, Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, amewapa majukumu mazito viungo wa timu hiyo…