POWER DYNAMO HOFU YATANDA ISHU IKO HIVI
Kikosi cha Power Dynamos kimeingia nchini jana kwa pambano la marudiano la raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba, huku kocha…
Kikosi cha Power Dynamos kimeingia nchini jana kwa pambano la marudiano la raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba, huku kocha…
Kocha Mkuu wa Al Merrikh, Osama Nabieh amechimba mkwara mzito kuwa licha ya ubora wa kikosi cha Young Africans, wamejipanga kupindua meza na kutinga hatua…
Daktari wa Simba SC, Edwin Kagabo amesema nyota wa kikosi hicho, Aubin Kramo anaendelea vizuri na matibabu ya goti na kinachoendelea kwa sasa kwake ni…
Baada ya kupoteza kwenye mchezo wao uliopita wa ligi dhidi ya Simba hasira za Coastal Union zinahamia kwa Tabora United unaotarajiwa kuchezwa leo Septemba 29.…
Wakati Miamba ya Soka Tanzania Simba SC na Young Africans zikitarajiwa katika kushuka dimbani wikiendi hii mashindano ya Kimataifa, makocha wa timu hizo wamepania kuhakikisha…
Ukiingia kwenye mitandao haswa kwa wanamichezo trend ni #KeyDay ya mechi ya Yanga ambayo imekua dedicated kwa Aziz Ki. Yanga inazungumzwa sana, Picha zinapostiwa saana…
Klabu ya Simba SC imepigwa faini ya shilingi million moja (1,000,000/=) na bodi ya ligi TPLB. Hii ni baada ya maafisa wake usalama kumfanyia vurugu…
Afisa Habari wa JKT Tanzania Masau Bwire, amesema sio sahihi kwa wadau wa soka la Bongo kuamini Simba SC na Young Africans ndizo zina haki…
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefanya kazi ya ziada ya kukutana na mchezaji mmoja mmoja ili kufanikisha mipango ya kushinda mchezo wa…
Unahitaji muda sana kuuelewa mpira wetu. Una njia zake. Unajiendesha kivyake vyake. Nigumu sana kumpata Mtanzania ambaye sio shabiki wa Yanga wala Simba. Ni vigumu…