Habari za Simba SC
Habari za michezo

SIMBA YACHAPWA FAINI NA BODI YA LIGI KISA HIKI HAPA

Staff Desk September 29, 2023 11:08 am

Klabu ya Simba SC imepigwa faini ya shilingi million moja (1,000,000/=) na bodi ya ligi TPLB.

Hii ni baada ya maafisa wake usalama kumfanyia vurugu Kiongozi mmoja wa Coastal Union kwenye mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara Kati ya Simba SC dhidi ya Coastal Union, ulipigwa katika uwanja wa Uhuru.

Simba SC ilishinda mchezo huo kwa mabao matatu kwa sifuri.

MASAUBWIRE ARUKA NA SIMBA, YANGA KISA HIKI HAPA AFCON KULETA NEEMA HUU HAPA UWANJA MPYA UTAKAOJENGWA ARUSHA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

2 responses to “SIMBA YACHAPWA FAINI NA BODI YA LIGI KISA HIKI HAPA”

  1. JUMA MKENGELA says:

    Comment:Thanks all of you especially vodacom

  2. Cjp@co.tz says:

    Comment:Naitakia simba ushindi wa goli 7 bila kesho dhidi ya power dynamos

Leave a Reply