Habari za michezo
AFCON KULETA NEEMA HUU HAPA UWANJA MPYA UTAKAOJENGWA ARUSHA
Staff Desk
September 29, 2023
11:12 am
Mwonekano wa uwanja mpya wa Arusha utakaojengwa na serikali jijini Arusha ikiwa sehemu ya maandalizi ya kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 ikishirikiana na Kenya na Uganda.
Uwanja huo utakaojengwa katika Kata ya Olmoti utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki 30,000
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.