HUKO SIMBA MAMBO NI MOTO, KIPA MPYA HUYU HAPA KUTUA KABLA YA SIMBA DAY
Klabu ya Simba imesema kuwa itamtangaza kipa mpya kabla ya kufikia siku ya Tamasha la Simba Day litakalofanyika Jumapili ijayo Agosti 6, 2023 katika Dimba…
Klabu ya Simba imesema kuwa itamtangaza kipa mpya kabla ya kufikia siku ya Tamasha la Simba Day litakalofanyika Jumapili ijayo Agosti 6, 2023 katika Dimba…
Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Afisa Habari wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally ameandika.. “Hadhi na Heshima ya King Ally Kiba sio kuimba…
SALIM Abdallah ‘Try Again’ ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba amewaambia mashabiki wa Simba kuwa wajiandae kufurahia msimu ujao kwa kuanzia ‘Simba…
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC Salim Abdallah ‘Try Again’ amewaambia Mashabiki na Wanachama kuwa wajiandae kufurahia msimu ujao kwa kuanzia ‘Simba Day’…
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amejiunga rasmi kuwa shabiki wa klabu ya Simba na kukabidhiwa kadi na Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Imani…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Kipa namba moja wa Simba SC, Aishi Manula, ameendelea na mazoezi ya gym baada ya kuwa majeruhi kwa zaidi ya miezi minne sasa. Kupitia ukurasa…
Kikosi cha Simba kimerejea nchini Alfajiri ya leo baada ya kambi ya wiki tatu Jijini Ankara nchini Uturuki kujiandaa na msimu mpya na Jumapili kitakuwa…
KIPA Mbrazili Jefferson Luis amechemka mazima na ameshapewa mkono wa kwaheri Msimbazi. Kama mambo yatakwenda kama yalivyosetiwa pale langoni kinatua tena chuma kutoka Bara la…
KAULI ya Mpira ni Pesa ndio unaweza kuitumia kuelezea namna Simba na Yanga zinavyoonyesha dalili ya kutamba tena msimu ujao wa 2023/2024 kutokana na jeuri…