Nickson Kibabage Apona Majeraha Simba SC, Agusia Dabi ya Kariakoo!
BEKI wa kushoto wa Simba SC, Nickson Kibabage, amewatoa hofu mashabiki wa klabu hiyo baada ya kutangaza kuwa anaendelea kurejea taratibu katika hali yake ya…
BEKI wa kushoto wa Simba SC, Nickson Kibabage, amewatoa hofu mashabiki wa klabu hiyo baada ya kutangaza kuwa anaendelea kurejea taratibu katika hali yake ya…
DAR ES SALAAM: Klabu ya Simba imerejea nchini ikitokea Afrika Kusini ilikoweka kambi ya siku 10 kujiandaa na mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya…
Yanga inaingia kambini Avic Town leo kwa maandalizi ya mwisho ya Dabi, huku Manqoba Mngqithi akibaki na takribani siku tano kuunganisha kikosi kamili.
Sakata la jezi namba 6 Yanga limeibuka tena baada ya kubainika Fred Duval Ngoma aliikataa na kuomba namba 8, baada ya dili la Fei Toto…
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amefunguka kuhusu matokeo ya mechi mbili za kirafiki walizocheza nchini Afrika Kusini na…
Dar es Salaam. Baada ya kukamilisha siku 10 za kambi ya maandalizi nchini Afrika Kusini, miamba ya soka nchini, Simba SC, imetua nyumbani ikiwa na…
Yanga inaendelea kukaza maandalizi ya Kariakoo Derby kwa friendly dhidi ya JKT Tanzania huku mastaa waliobaki kambini wakipita fitness test ya Manqoba.
TFF imefafanua sakata la wachezaji wa Yanga kuruhusiwa kuondoka Taifa Stars Morocco na kukanusha madai kwamba Miguel Gamondi amechukizwa.
Baada ya kukamilisha siku 10 za kambi nzito ya maandalizi nchini Afrika Kusini, miamba ya soka nchini, Simba SC, inarejea nyumbani ikiwa na kibarua kizito…
Baada ya kukamilisha siku 10 za kambi nzito ya maandalizi nchini Afrika Kusini, miamba ya soka nchini Simba SC inatarajia kurejea jijini Dar es Salaam…