Klabu Za TWPL Zalia Vibali: Gharama Zaiweka TFF Kwenye Presha
Klabu za Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania zinalalamikia mzigo wa ada, leseni na vibali unaoongezeka, huku zikihitaji TFF kukaa nazo mezani kutafuta suluhu.
Klabu za Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania zinalalamikia mzigo wa ada, leseni na vibali unaoongezeka, huku zikihitaji TFF kukaa nazo mezani kutafuta suluhu.
GIZANI! Hali ya mambo ndani ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) imeingia kwenye utata mzito baada ya klabu zinazoshiriki ligi hiyo kufikia hatua ya…