Latest Posts

HUYU HAPA MSAIDIZI WA AUCHO YANGA

Klabu ya Yanga imefungua mazungumzo na kiungo mkabaji Bonaventure Fonseca anayekipiga Teungueth Fc ya Senegal. Mazungumzo ya awali yamefanyika na mchezaji amevutiwa na uhamisho huo.…

Habari za Yanga

YANGA SASA FRESH

Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limeiondolea klabu ya Yanga adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kumlipa mchezaji Gael Bigirimana. Bigiramana alikuwa mchezaji wa…