Manqoba Aingiza Yanga Kambini Leo, Siku Tano Tu Kuimaliza Simba
Yanga inaingia kambini Avic Town leo kwa maandalizi ya mwisho ya Dabi, huku Manqoba Mngqithi akibaki na takribani siku tano kuunganisha kikosi kamili.
Yanga inaingia kambini Avic Town leo kwa maandalizi ya mwisho ya Dabi, huku Manqoba Mngqithi akibaki na takribani siku tano kuunganisha kikosi kamili.
Sakata la jezi namba 6 Yanga limeibuka tena baada ya kubainika Fred Duval Ngoma aliikataa na kuomba namba 8, baada ya dili la Fei Toto…
Yanga inaendelea kukaza maandalizi ya Kariakoo Derby kwa friendly dhidi ya JKT Tanzania huku mastaa waliobaki kambini wakipita fitness test ya Manqoba.
TFF imefafanua sakata la wachezaji wa Yanga kuruhusiwa kuondoka Taifa Stars Morocco na kukanusha madai kwamba Miguel Gamondi amechukizwa.
Yanga imeanza maandalizi ya Dabi ya Kariakoo ikiwa bado haina karibu wachezaji 15 waliopo kwenye timu za taifa, huku Manqoba akianza kazi ya kuunganisha kikosi.
Klabu ya Yanga SC imeanza rasmi kurejea kwenye programu zake za maandalizi baada ya mapumziko mafupi, huku ikitoa taarifa njema na ya kutuliza mioyo ya…