NYOTA HAWA WA YANGA SC…KUIKOSA MECHI NA TP MAZEMBE…NI PIGO KWA NABI
Kumekuwa na stori nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuwa Yanga itawakosa wachezaji wake wengi kwenye mchezo ujao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya TP…
Kumekuwa na stori nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuwa Yanga itawakosa wachezaji wake wengi kwenye mchezo ujao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya TP…
Upo uwezekano mkubwa wa Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi kumuondoa beki mmoja wa kati katika kikosi chake cha kwanza na kumuingiza Ibrahim Hamad…
Jesus Ducapel Moloko ni mchezaji ambaye hapewi heshima na sifa inayomstahili kwenye soka la Bongo. Anachukuliwa poa sana lakini mchango wake kwenye mafanikio ya Yanga…
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kikosi cha timu hiyo kimetoa somo namna ya kuzifunga timu kutoka Kaskazini mwa…
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wametamba kiufumua US Monastir ya Tunisia katika mchezo wa Mzunguko watano wa Kundi D, Kombe la Shirikisho Barani…
Hakuna kukwepesha jicho. Ndivyo unavyoweza kusema wakati Yanga wakijiandaa kuwavaa US Monastir siku ya Jumapili mchezo wa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga…
Mshambuliaji wa Yanga, Kennedy Musonda ameapa kuhakikisha anafunga mabao muhimu yatakayoisaidia timu yake kufanya vizuri dhidi ya US Monastir. Musonda ambaye ni ingizo jipya kwa…
Wakati Taarifa zikiibuka mchana wa leo kuwa Klabu ya Yanga imefungiwa kufanya usajili kwa misimu mitatu kutokana na kutomlipa aliyekuwa Kocha wake Luc Eymel stahiki…
Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa timu hiyo haijafungiwa kusajili madirisha matatu na Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) kwa kosa…
Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa Waarabu watwaambia waliwafungaje kwenye mchezo uliopita kutokana na mipango kazi inayoendelea ndani ya timu hiyo. Yanga inayonolewa na Kocha…