Yanga Yaingia Kwenye Hesabu Za Dabi Bila Mastaa 15, Manqoba Ana Kazi
Yanga imeanza maandalizi ya Dabi ya Kariakoo ikiwa bado haina karibu wachezaji 15 waliopo kwenye timu za taifa, huku Manqoba akianza kazi ya kuunganisha kikosi.
Yanga imeanza maandalizi ya Dabi ya Kariakoo ikiwa bado haina karibu wachezaji 15 waliopo kwenye timu za taifa, huku Manqoba akianza kazi ya kuunganisha kikosi.
Klabu ya Yanga SC imeanza rasmi kurejea kwenye programu zake za maandalizi baada ya mapumziko mafupi, huku ikitoa taarifa njema na ya kutuliza mioyo ya…