Rekodi 10 za Kutisha za Wasanii wa WCB Wasafi Unazotakiwa Kuzijua
Lebo ya WCB Wasafi, iliyoanzishwa na nguli wa Bongo Fleva Diamond Platnumz zaidi ya miaka 10 iliyopita, imekuwa kiwanda cha kutengeneza mastaa wakubwa barani Afrika.…
Lebo ya WCB Wasafi, iliyoanzishwa na nguli wa Bongo Fleva Diamond Platnumz zaidi ya miaka 10 iliyopita, imekuwa kiwanda cha kutengeneza mastaa wakubwa barani Afrika.…
Wakati staa wa Bongofleva, Zuchu (32), akiweka historia mpya ya kufikisha wafuatiliaji (subscribers) milioni 5 kwenye mtandao wa YouTube na kuwa msanii wa tatu wa…
Mwanamuziki nyota wa Tanzania, Omary Mwanga maarufu kama Marioo, amerejea nchini akitokea Marekani akiwa na ushindi mnono wa tuzo ya AFRIMMA katika kipengele cha Msanii…
Kila mara mwanamuziki D Voice anapojitambulisha, amekuwa akijinasibu kama msanii wa Singeli. Hata hivyo, mtindo wake wa kufanya muziki tangu alipojiunga na lebo ya WCB…
Familia ya staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, na mpenzi wake, Zuchu, ipo kwenye furaha kubwa baada ya msanii huyo kujifungua mtoto wao wa kike.…
Dar es Salaam, Tanzania — Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, na msanii mwenzake Zuchu wameingia kwenye kilele cha furaha baada ya kufanikiwa…
Kama kuna habari iliyotawala vijiwe vya burudani na mitandao ya kijamii wiki hii, basi ni zamu ya wapendanao wanaotazamwa zaidi Bongo, Zuchu na Diamond Platnumz.…