ISHU YA MPANZU KUTAKIWA NA WAARABU …UKWELI WOTE HUU HAPA…
INAELEZWA kuwa winga chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Fadlu Davids ndani ya kikosi cha Simba SC, Ellie Mpanzu yupo kwenye rada za RS...
KUHUSU MANULA KURUDI ZAKE AZAM FC…HII HAPA STORI NYUMA YA PAZIA ISIYOSEMWA….
AIR Manula amerejea ndani ya kikosi cha Azam FC akitokea kwa waajiri wake Simba SC akiwa mchezaji huru. Mkataba wa Air Manula na Simba...
KUELEKEA CHAN…..TAIFA STARS YAKIMBILIA MISRI ‘KUVUNJA NAZI’….
KIKOSI cha Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Julai 08 2025 kiliingia kambini Dar es Salaam kisha alfajiri ya kuamkia Julai 9 kimekwea...
HUYU HAPA MVP WA IVORY COST ALIYEZIGONGANISHA SIMBA, YANGA…..KESI KUFIKISHWA FIFA….
HUENDA hii isiwe taarifa nzuri kwa mashabiki wa Yanga ambao walikuwa wakianza kuchekelea chinichini baada ya kuwahabarisha juu ya dili la straika wa ASEC...
KUHUSU ISHU YA AZIZ KI KUTAKIWA KUTEMWA WYDAD…..YANGA WAWAPA JIBU HILI WAARABU….
BAADA ya kucheza dakika 11 kwenye mechi mbili za Kombe la Dunia la Klabu dhidi ya Manchester City na Juventus, kiungo mshambuliaji wa Wydad,...
BETI YAKO UNAMPA NANI? PSG VS REAL MADRID…
Nusu fainali kali kabisa kupigwa leo katika dimba la MetLife kati ya PSG vs Real Madrid. Fursa ipo mikononi mwako leo ukibashiri mechi hii...
EXPANSE TOURNAMENT IMERUDI KWA KISHINDO NA ZAWADI ZA JUU KUTOKA MERIDIANBET…
Meridianbet inakuletea promosheni ya kipekee ya Expanse Tournament, shindano la kusisimua la michezo ya sloti linalofanyika kuanzia tarehe 08 Julai hadi 22 Julai 2025....
MAISHA YA CAMARA SIMBA HATARINI….MABOSI WAVUTANA ‘ABAKI AU ASEPE’….
MAISHA yanaenda kasi sana unaambiwa, kwani kuna mambo nyakati flani msimu uliopita usingeweza kufikiria iwapo yangeibuka sasa na kutibua mioyo ya mashabiki wa Simba...
BONASI YA KIBABE KUTOLEWA UKIBASHIRI NA GG&3+…
Je unajua kuwa Jumanne ya leo unaweza ukajipatia bonasi ya kibabe ndani ya Meridianbet kwenye mtanange huu wa Nusu Fainali ya Kombe la Dunia...
BAADA YA DEAL LA MOKWENA KUSHINDIKANA….KOCHA MPYA YANGA HUYU HAPA…JAMAA NI MASTER..
MEZANI kwa mabosi wa Yanga kwa sasa kuna majina mawili ya makocha wanaopigiwa hesabu, mmoja aje kuinoa timu hiyo kuziba nafasi ya Miloudi Hamdi...