KIDUKU AMTWANGA KWA TKO MTHAILAND
BONDIA Mtanzania, Twaha Kiduku amemtwanga bondia Sorimongkhon Singwancha kutoka Thailand kwa TKO raundi ya saba.Kiduku mkazi wa Morogoro aliibuka mbabe kwenye pambano hilo la...
LAPTOP YAFICHUA HUJUMA SIMBA SC
HATIMAYE siri imefi chuka kuwa kompyuta mpakato ‘laptop’ aliyokuwa akiitumia mtendaji mmoja wa Simba ndiyo imeonyesha kuwa timu hiyo inahujumiwa na wapinzani wao. Hivi karibuni...
AZAM FC YAFIKIRIA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU BARA
SALUM Abubakar, kiungo wa Azam FC maarufu kama Sure Boy amesema kuwa ana imani kwamba kikosi hicho kitafikia malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi...
YANGA INA BALAA, YATIBUA REKODI YA BIASHARA UNITED BAADA YA DAKIKA 248
USHINDI wa bao 1-0 walioupata Yanga jana Oktoba 31 dhidi ya Biashara United Uwanja wa Karume umetibua rekodi ya kikosi cha wanajeshi hao wa...
CORONA YATIBUA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika (CAF) limelazimika kuahirisha fainali ya Ligi ya Mabingwa iliyokuwa ichezwe Novemba 6, 2020, kutokana na kucheleweshwa kwa pambano la...
SIMBA YAINGIA ANGA ZA UD SONGO, KULIVUTA JEMBE HILI LA KAZI
IMEFAHAMIKA kuwa, kiungo mshambuliaji wa Simba raia wa Msumbiji, Luis Miquissone, ndiye aliyetoa mapendekezo ya usajili wa kiungo mshambuliaji, Pachoio Lau Há King anayekipiga...
KAZE: HAKUNA MCHEZAJI ANAYEWEZA KUCHEZA MECHI NNE
CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hakuna mchezaji wake anayeweza kucheza mechi nne ndani ya siku 12 kutokana na ratiba kuwataka kufanya...
ISHU YA SIMBA KUYUMBA MSIMU WA 2020/21, SIMBA YAFAFANUA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa unaamini kwamba una nguvu ya kutetea taji la Ligi Kuu Bara kwa mara nyingine tena licha ya...
CRISTIANO RONALDO APONA CORONA, SASA KAZIKAZI
UONGOZI wa Juventus umethibitisha kuwa nyota wao Cristiano Ronaldo kwa sasa tayari ameshapona COVID -19 baada ya kubaninika na Virusi hivyo ambapo alikaa karantini...
KOCHA MANCHESTER UNITED APATA HOFU KUIKABILI ARSENAL
OLE Gunnar Solskajer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa leo Novemba Mosi ana mtihani mzito wa kusaka pointi tatu mbele ya Arsenal.Manchester United...