GSM KUMWAGA MKWANJA WA MAANA KWA WACHEZAJI WASEPE NA KOMBE LA SHIRIKISHO
INJINIA, Hersi Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM, amesema kuwa watatoa mkwanja wa maana kwa wachezaji ili kuwaongezea morali ya kupambana kubeba taji la Kombe...
WABAYA WA YANGA KOMBE LA SHIRIKISHO WATANGAZA KUTOA BURUDANI
MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa wanajiadaa kutoa burudani kwenye mchezo wao wa hatua ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga...
JEMBE LA KAZI SIMBA KUTUA JUNI 8
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuna uwezekano wa kiungo wa Simba ambaye yupo Zambia Clatous Chama akaibuka Bongo, Juni 8.Chama ni...
DAKTARI KAFICHUA SIRI, KUMBE MAHADHI AMEPONA HALAFU ANAOGOPA MWENYEWE….
Daktari mkongwe wa michezo ambaye sasa ni daktari wa klabu ya Yanga, Shecky Mngazija amefichua kuwa winga wa kikosi hicho, Juma Mahadhi yupo fiti...
ALICHOKISEMA EYMAEL KUHUSIANA NA YANGA KUTOMTUMIA TIKETI
Kocha Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael ameweka wazi kuwa hadi kufikia jana mchana uongozi wa Yanga ulikuwa bado haujamtumia tiketi ya ndege kuweza...
GSM YAIPIGA MKWARA SIMBA, KISA ISHU YA MWAMNYETO
INJINIA, Hersi Said amesema kuwa GSM imejipanga kwa ajili ya kuboresha kikosi cha Yanga hivyo hawashindwi kumpata mchezaji yeyote ndani ya ardhi ya Tanzania.Miongoni...
MASHINE HIZI NNE ZA KAZI ZIMELETWA NA GSM NDANI YA YANGA
UONGOZI wa kampuni ya GSM umesema kuwa uliamua kusajili wachezaji ndani ya Klabu ya Yanga ili kuboresha kikosi na kuongeza ushindani.Injinia, Hersi Said amesema...
KOCHA LIPULI: WACHEZAJI WALIKUWA HAWAFANYI MAZOEZI
NZEYIMANA Mailo, Kocha Mkuu wa Lipuli FC amesema kuwa wachezaji wake hawakuwa wakifanya mazoezi wakati wa mapumziko ya lazima yaliyosababishwa na janga la Virusi...
VIGONGO VINNE VYA MOTO KWA YANGA HIVI HAPA
YANGA iliyo chini ya Kocha Mkuu, Luc Eymael ina kazi tatu za kufanya ndani ya Juni, kwenye mechi za Ligi Kuu Bara.Ipo nafasi ya...