CORONA IMETUFUNDISHA JINGINE KUHUSIANA NA KLABU NA UMILIKI WA VIWANJA

0
NA SALEH ALLYNAJUA limekuwa ni suala ambalo linazungumzwa mara kwa mara kuzishauri timu kuwa na viwanja vyao binafsi.Jambo hili tumelizungumza sana kama wadau wa...

KUREJEA LIGI KUU BARA, WAKATI MZURI KUTATHMINI UBORA WA LIGI KUU BARA…

0
Na Saleh AllySERIKALI imepitisha kurejea kwa Ligi Kuu Bara na huu utakuwa ni wakati mzuri wa kuufanya ule mjadala wetu kwa vitendo. Kwamba wachezaji...

HASSAN DILUNGA NYOTA WA SIMBA ANA KAZI YA KUENDELEZA TABASAMU PALE ALIPOISHIA

0
HASSAN Dilunga, kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Simba ni miongoni mwa nyota ambao tayari wameanza mazoezi ya pamoja na timu yake.Mei 27 Simba ambao...

MEI 31 YANGA INA BALAA ZITO, YAINGIA ANGA ZA LA LIGA

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mchakato wa safari ya kuelekea mabadiliko umefika hatua nzuri na mpango mkubwa uliopo ni Mei 31 itakuwa siku maalumu...

HUYU NDIYE SHEVA KAMA SHEVA BALAA LAKE UWANJANI LIPO NAMNA HII

0
MIRAJ Athuman,’ Sheva’ ni mzawa anayekipiga ndani ya Simba ambaye ni ingizo jipya kwa msimu wa 2019/20 akitokea ndani ya Lipuli.Sheva hakuwa na mbwebewe...

KIFAA MAALUMU CHA MORRISON MAZOEZINI CHAIBUA GUMZO

0
BERNARD Morrison nyota wa Yanga amekuwa akifanya mazoezi akiwa amevaa maski maalumu za mazoezi zinazoitwa 'training mask' jambo ambalo limemkosha daktari wa timu hiyo...

HIVI NDIVYO YANGA NA SIMBA ZITAKAVYOKUTANA KWENYE MECHI YA KOMBE LA SHIRIKISHO

0
LEO Mei 29 droo ya ratiba ya mechi za robo Fainali imepangwa makao makuu ya Azam TV ambapo tayari timu zote nane zimejua zitakutana...

BREAKING: ROBO FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO, SIMBA V AZAM FC

0
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho, Azam FC wamepangwa kumenyana na Simba kwenye mchezo wa robo fainali.Yanga itamenyana na Kagera Sugar kwenye hatua ya...

YANGA YAFICHUA MBINU ZITAKAZOWAREJESHA KIMATAIFA

0
UONGOZI wa Yanga umefichua kuwa mbinu pekee itakayowarudisha kushiriki michuano ya kimataifa ni kutwaa taji la Kombe la Shirikisho ambalo lipo mikononi mwa Azam...

SURE BOY AMPOTEZA JUMLAJUMLA TSHISHIMBI

0
SALUM Abubakari,’Sureboy’ kiungo anayetajwa kuingia kwenye rada za Yanga anayekipiga ndani ya Klabu ya Azam FC amemkalisha jumlajumla nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi kwenye...