UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetoa pole kwa nahodha msaidizi wa kikosi hicho, Bakari Mwamnyeto wa kupata msiba wa mchumba wake ambaye amefikiwa na umauti kutokana na matatizo ya uzazi.Mwamnyeto ambaye alikuwa kwenye kambi ya timu ya Taifa ya...

DIALLO NI MANCHESTER UNITED

0
 Amezaliwa Abidjan Mji mkubwa ndani ya Ivory Coast ila aliibukia nchini Italia akiwa kijana mdogo.Alianza kucheza ndani ya BocaBarco 2014 akiwa na miaka 12 na 2015 alisaini dili ndani ya Klabu ya Atalanta kwa kujiunga timu ya chini ya...
 MAKOCHA 10 wameishia njiani ndani ya Ligi Kuu Bara mpaka sasa kutokana na sababu mbalimbali kwa msimu wa 2020/21.Hawa hapa kazi yao haikufika mwisho namna hii:-Zlatko Krmpotic wa Yanga alifutwa Oktoba 3 kwa sasa nafasi yake ipo chini ya...
 KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula ambaye ni kipa bora kwa msimu wa 2019/20, msimu huu wa 2020/21 amewaingiza vitani, Daniel Mgore na Metacha Mnata.Mgore anayeidakia Biashara United, amekaa langoni mechi 15 kati ya 17, amekusanya clean sheet...
 KOCHA Mkuu wa Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amesema uwepo wa beki mkongwe, Kelvin Yondani kwenye kikosi chake, umeongeza umakini kwenye safu yake ya ulinzi. Polisi Tanzania imefanikiwa kutinga hatua ya nne ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) baada ya...
 KLABU ya Simba inasubiri droo itakayopangwa leo Januari 8, 2021, Cairo, Egypt kujua wapinzania wao baada ya kufuzu hatua ya makundi Januari 6, 2021 Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Simba imefika hatua hiyo baada ya kushinda mabao 4-0...
 KIUNGO wa Yanga, Carlos Fernandes ‘Carlinhos’ amepata majanga akiwa na kikosi cha timu hiyo visiwani Zanzibar ambapo amerudishwa jijini Dar na kuikosa michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani humo.Akizungumza na Spoti Xtra, Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli,...
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa, lipo mtaani jipatie nakala yako
 MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa 
UONGOZI wa Simba umetangaza rasmi kuachana na Sven Vandenbroeck aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo