MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano nakala yake ni 800
KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa wamekutana na timu nzuri ndani ya Uwanja wa Amaan jambo lililowafanya walazimishe sare ya bila kufungana.Mchezo wa leo wa Kombe la Mapinduzi ambao ni wa makundi ikiw ipo kundi A pamoja...
BEKI wa zamani wa Klabu ya Liverpool, Jamie Carragher amesema kuwa itakuwa ngumu kwa timu hiyo kuweza kutetea taji la ubingwa wa Ligi Kuu England ikiwa haitasajili beki wa kati kwenye dirisha la usajili wa mwezi Januari.Beki huyo ambaye alicheza...
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Januari 5 Kombe la Mapinduzi dhidi ya Jamhuri, Uwanja wa Amaan, visiwani Zanzibar1.Farouk Shikalo2.Paul Godfrey3.Adeyum Saleh4.Juma Makapu5.Abdul Shaibu6.Tonombe Mukoko7.Chibada8.Mauya Zawadi9.Wazir Jr10.Niyonzima11.A.YunusAkibaRamadhan KabwiliShomari KibwanaA.HusseinYacoubaMichael SarpongKisinda Tuisila
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho, Namungo FC wameendelea kupambana kimataifa kwa kuweza kutinga hatua ya tatu ya kombe hilo baada ya kulazimisha sare ya kufungana mabao 3-3 dhidi ya El Hilal Obei ya Sudan.Licha ya...
MABINGWA watetezi wa Kombe la Mapinduzi ambalo limeanza kufanyika leo Januari 5 imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Chipukizi kwenye mchezo wa ufunguzi uliochezwa Uwanja wa Amaan, visiwani Zanzibar.Mtibwa Sugar walianza kwa kasi kipindi cha kwanza ila...
KIKOSI cha Yanga leo kimefanya mazoezi ya mwisho kabla ya kuvaana na Jamhuri kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi leo Januari 5.Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi ni Mtibwa Sugar ambao walitwaa msimu wa 2020.Mtibwa ilishinda bao 1-0 mbele...
LEO Januari 5,Kombe la Mapinduzi linaanza kutimua vumbi visiwani Zanzibar na mchezo wa Simba dhidi ya Chipukizi umepelekwa mbele.Mchezo wa ufunguzi utakuwa ni kwa Mabingwa watetezi Mtibwa Sugar ambao watamenyana na Chipukizi na ule wa pili utakuwa ni kati...
HATIMAYE ni wakati mwingine tena kwa ajili ya kuendelea na mapambano ndani na nje ya uwanja kwa wawakilishi wetu kusaka tiketi ya kusonga mbele kwenye michuano ya kimataifa.2020 ilikuwa na maumivu kwa timu zetu zinazoshiriki michuano ya kimataifa kutokana...
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa unahitaji kurejea kwenye ardhi ya Tanzania Bara ikiwa na Kombe la Mapinduzi.Tayari kikosi kimewasili Visiwani Zanzibar, jana Januari 4 na leo kitaanza kucheza mchezo wa kwanza dhidi ya Chipukizi mchezo utakaochezwa majira ya saa...